The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 17 › Isaiah 17:5

Isaiah 17:5

Itakuwa kama mvunaji akusanyavyo nafaka 2 na kuvuna nafaka kwa mikono yake, 1 kama wakati mtu aokotapo masazo ya masuke 2 katika Bonde la Warefai. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall be as when the harvestman gathereth the corn, and reapeth the ears with his arm; and it shall be as he that gathereth ears in the valley of Rephaim.

In Context

4“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, 2 unono wa mwili wake utadhoofika. 1

6Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki, 2 kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa, 1 kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni, 2 nne au tano katika matawi yazaayo sana,” 4 asema Bwana, Mungu wa Israeli. 1

Read all of Isaiah 17

Cross References

Joshua 18:16Mpaka ukateremka hadi shefela inayotazamana na Bonde la Ben-Hinomu, kaskazini mwa Bonde la Refaimu. Ukaendelea chini kwenye Bonde la Hinomu sambamba na mteremko wa kusini mwa mji mkubwa wa Wayebusi na kisha hadi En-Rogeli.

2 Samuel 5:22Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai.

Jeremiah 9:22Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Maiti za wanaume zitalala 2 kama mavi katika mashamba, 1 kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, 2 wala hakuna anayekusanya.’ ”

Hosea 6:11“Pia kwa ajili yako, Yuda, 2 mavuno yameamriwa. 1 “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu,

Matthew 13:30Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ” 1 Mfano Wa Mbegu Ya Haradali (Marko 4:30-32; Luka 13:18-19)

Revelation 14:15Kisha malaika mwingine akaja kutoka hekaluni naye akamwita kwa sauti kubwa yule aliyekuwa ameketi juu ya lile wingu akasema, “Chukua mundu wako ukavune kwa kuwa wakati wa mavuno umewadia, kwa maana mavuno ya dunia yamekomaa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 17:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 17:4Isaiah 17Isaiah 17:6 →