2 Samweli 23:17
Akasema, “Iwe mbali nami, Ee Bwana, kufanya kitu hiki. Je, hii si damu ya watu ambao walikwenda kwa kuhatarisha maisha yao?” Naye Daudi hakuyanywa. Haya yalifanywa na hao mashujaa watatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 44:17Lakini Yosefu alisema, “Liwe mbali nami kufanya jambo kama hili! Mtu yule tu aliyekutwa na kikombe ndiye atakayekuwa mtumwa wangu. Ninyi wengine, rudini kwa baba yenu kwa amani.”
Judges 5:18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
1 Samuel 26:11Lakini Mungu na apishie mbali nisije nikainua mkono juu ya mpakwa mafuta wa Bwana. Sasa chukua huo mkuki na hilo gudulia la maji vilivyo karibu na kichwa chake, tuondoke.”
1 Kings 21:3Lakini Nabothi akamjibu, “ Bwana na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”
Psalms 72:14Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, 2 kwani damu yao ni ya thamani machoni pake. 1
Mark 14:24Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.