2 Samweli 23:6
Lakini watu waovu wote 2 watatupwa kando kama miiba, 2 ambayo haikusanywi kwa mkono. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, 2 nawe utakula mimea ya shambani. 1
1 Samuel 2:12Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.
2 Samuel 20:1Basi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, 1 “Hatuna fungu katika Daudi, 2 wala hatuna sehemu 2 katika mwana wa Yese! 1 Kila mtu aende hemani mwake, 2 enyi Israeli!”
Isaiah 33:12Mataifa yatachomwa kama ichomwavyo chokaa, 2 kama vichaka vya miiba vilivyokatwa ndivyo watakavyochomwa.” 1
Micah 7:4Aliye mwema kupita wote kati yao 2 ni kama mchongoma, 1 anayeonekana mnyofu zaidi miongoni mwao 2 ni mbaya kuliko uzio wa miiba. 1 Siku ya walinzi wako imewadia, 2 siku atakayokutembelea Mungu. 1 Sasa ni wakati wao 2 wa kuchanganyikiwa. 1