2 Timothy 2:13
Kama tusipoamini, 2 yeye hudumu kuwa mwaminifu, 2 kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. 1 Mfanyakazi Aliyekubaliwa Na Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If we believe not, yet he abideth faithful: he cannot deny himself.
In Context
12Kama tukistahimili, 2 pia tutatawala pamoja naye. 1 Kama tukimkana yeye, 2 naye atatukana sisi. 1
Cross References
Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
Romans 9:6Si kwamba Neno la Mungu limeshindwa. Kwa maana si kila Mwisraeli ambaye ni wa uzao utokanao na Israeli ni Mwisraeli halisi.
1 Thessalonians 5:24Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.
Titus 1:2imani na ujuzi ulioko katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu, asiyesema uongo, aliahidi hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu,