Acts 2:34
Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.” ’
Cross References
Matthew 22:42“Mnaonaje kuhusu Kristo? + 22:42 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”
Luke 20:42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
Ephesians 1:22Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa,