The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 1 › Amos 1:11

Amos 1:11

Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Kwa dhambi tatu za Edomu, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu alimfuatia ndugu yake kwa upanga, 2 alikataa kuonyesha huruma yoyote, 1 kwa sababu hasira yake kali iliendelea kupanda wakati wote 2 na ghadhabu iliwaka bila kuzuiliwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD; For three transgressions of Edom, and for four, I will not turn away the punishment thereof; because he did pursue his brother with the sword, and did cast off all pity, and his anger did tear perpetually, and he kept his wrath for ever:

In Context

10Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro 2 ambao utateketeza ngome zake.”

12Nitatuma moto juu ya Temani 2 ambao utateketeza ngome za Bosra.”

Read all of Amos 1

Cross References

Genesis 27:41Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, “Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia, ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo.”

Numbers 20:20Watu wa Edomu wakajibu tena: “Hamwezi kupita hapa.” Ndipo watu wa Edomu wakatoka dhidi ya Waisraeli, jeshi kubwa lenye nguvu.

Deuteronomy 23:7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake.

2 Chronicles 20:11tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupa sisi kuwa urithi.

Psalms 83:3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, 2 wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 1

Psalms 137:7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, 2 siku ile Yerusalemu ilipoanguka. 1 Walisema, “Bomoa, Bomoa 2 mpaka kwenye misingi yake!” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 1:10Amos 1Amos 1:12 →