The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 1 › Amosi 1:10

Amosi 1:10

Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro 2 ambao utateketeza ngome zake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I will send a fire on the wall of Tyrus, which shall devour the palaces thereof.

In Context

9Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Tiro, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, 2 na kutokujali mapatano ya undugu, 1

11Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Kwa dhambi tatu za Edomu, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu alimfuatia ndugu yake kwa upanga, 2 alikataa kuonyesha huruma yoyote, 1 kwa sababu hasira yake kali iliendelea kupanda wakati wote 2 na ghadhabu iliwaka bila kuzuiliwa. 1

Read all of Amosi 1

Cross References

Amos 1:4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli 2 ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 1

Zechariah 9:4Lakini Bwana atamwondolea mali zake 2 na kuuangamiza uwezo wake wa baharini, 2 naye atateketezwa kwa moto. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 1:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 1:9Amosi 1Amosi 1:11 →