Amosi 1:12
Nitatuma moto juu ya Temani 2 ambao utateketeza ngome za Bosra.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I will send a fire upon Teman, which shall devour the palaces of Bozrah.
In Context
Cross References
Genesis 36:33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 1
Isaiah 34:6Upanga wa Bwana umeoga katika damu, 2 umefunikwa na mafuta ya nyama: 1 damu ya kondoo na mbuzi, 2 mafuta kutoka figo za kondoo dume. 1 Kwa maana Bwana ana dhabihu huko Bosra, 2 na machinjo makuu huko Edomu. 1
Jeremiah 49:13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1
Jeremiah 49:22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski