The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 1 › Amosi 1:6

Amosi 1:6

Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Gaza, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu walichukua mateka jumuiya nzima 2 na kuwauza kwa Edomu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD; For three transgressions of Gaza, and for four, I will not turn away the punishment thereof; because they carried away captive the whole captivity, to deliver them up to Edom:

In Context

5Nitalivunja lango la Dameski; 2 nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni, + 1:5 Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu. 1 na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. 2 Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” 4 asema Bwana.

7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza 2 ambao utateketeza ngome zake. 1

Read all of Amosi 1

Cross References

2 Chronicles 21:16Bwana akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu.

2 Chronicles 28:18Pia Wafilisti walikuwa wameshambulia miji iliyokuwa chini ya vilima na katika miji ya Negebu ya Yuda. Nao wakawa wametwaa Beth-Shemeshi, Aiyaloni, Gederothi, Soko pamoja na vijiji vyake, Timna pamoja na vijiji vyake, Gimzo pia pamoja na vijiji vyake na kuishi humo.

Jeremiah 47:1Hili ndilo neno la Bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu Wafilisti, kabla Farao hajaishambulia Gaza:

Ezekiel 25:15“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Wafilisti wamewalipiza kisasi kwa uovu wa mioyo yao na kwa uadui wa siku nyingi wakataka kuangamiza Yuda,

Joel 3:6Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.

Amos 1:9Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Tiro, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, 2 na kutokujali mapatano ya undugu, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 1:5Amosi 1Amosi 1:7 →