Amos 1:9
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Tiro, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, 2 na kutokujali mapatano ya undugu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro 2 ambao utateketeza ngome zake.”
Cross References
2 Samuel 5:11Basi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mierezi, maseremala na waashi, nao wakajenga jumba la kifalme kwa ajili ya Daudi.
1 Kings 9:11Mfalme Solomoni akampa Hiramu mfalme wa Tiro miji ishirini katika Galilaya, kwa sababu Hiramu alikuwa amempatia mierezi yote, misunobari na dhahabu yote aliyohitaji.
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Jeremiah 47:4Kwa maana siku imewadia 2 kuwaangamiza Wafilisti wote 1 na kuwakatilia mbali walionusurika wote 2 ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. 1 Bwana anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, 2 mabaki toka pwani za Kaftori. + 47:4 Kaftori ndio Krete. 1
Ezekiel 27:1Neno la Bwana likanijia kusema:
Ezekiel 28:1Neno la Bwana likanijia kusema: