The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:13

Amos 2:13

“Sasa basi, nitawaponda 2 kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I am pressed under you, as a cart is pressed that is full of sheaves.

In Context

12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1

14Mkimbiaji hodari hatanusurika, 2 wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, 2 na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 1

Read all of Amos 2

Cross References

Job 39:12Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani 2 kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria? 1

Isaiah 1:14Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: 2 moyo wangu unazichukia. 1 Zimekuwa mzigo kwangu, 2 nimechoka kuzivumilia. 1

Isaiah 43:24Hukuninunulia uvumba wowote wenye manukato, 2 wala hukunipa kwa ukarimu 2 mafuta ya wanyama wa dhabihu zako. 1 Lakini umenilemea kwa dhambi zako, 2 na kunitaabisha kwa makosa yako. 1

Ezekiel 16:43“ ‘Kwa sababu hukuzikumbuka siku za ujana wako, lakini ulinikasirisha kwa mambo haya yote, hakika nitaleta juu ya kichwa chako yale uliyotenda, asema Bwana Mwenyezi. Je hukuongeza uasherati juu ya matendo yako yote ya kuchukiza?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:12Amos 2Amos 2:14 →