Isaya 43:24
Hukuninunulia uvumba wowote wenye manukato, 2 wala hukunipa kwa ukarimu 2 mafuta ya wanyama wa dhabihu zako. 1 Lakini umenilemea kwa dhambi zako, 2 na kunitaabisha kwa makosa yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 30:23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 + 30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 250 + 30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Leviticus 3:16Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama chakula, sadaka iliyotolewa kwa moto, harufu nzuri. Mafuta yote ya mnyama ni ya Bwana.
Psalms 50:9Sina haja ya fahali wa banda lako, 2 au mbuzi wa zizi lako. 1
Isaiah 1:14Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: 2 moyo wangu unazichukia. 1 Zimekuwa mzigo kwangu, 2 nimechoka kuzivumilia. 1
Isaiah 7:13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia?
Jeremiah 6:20Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, 2 au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? 1 Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, 2 dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”