The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:14

Isaiah 1:14

Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: 2 moyo wangu unazichukia. 1 Zimekuwa mzigo kwangu, 2 nimechoka kuzivumilia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Your new moons and your appointed feasts my soul hateth: they are a trouble unto me; I am weary to bear them.

In Context

13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1

15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

Read all of Isaiah 1

Cross References

Isaiah 7:13Ndipo Isaya akasema, “Sikia sasa, ewe nyumba ya Daudi! Je, haitoshi kujaribu uvumilivu wa wanadamu? Je, mtaujaribu uvumilivu wa Mungu wangu pia?

Isaiah 43:24Hukuninunulia uvumba wowote wenye manukato, 2 wala hukunipa kwa ukarimu 2 mafuta ya wanyama wa dhabihu zako. 1 Lakini umenilemea kwa dhambi zako, 2 na kunitaabisha kwa makosa yako. 1

Amos 2:13“Sasa basi, nitawaponda 2 kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 1

Zechariah 11:8Katika mwezi mmoja nikawaondoa wachungaji watatu. Kundi la kondoo likanichukia, nami nikachoshwa nao,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:13Isaiah 1Isaiah 1:15 →