The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:8

Amos 2:8

Watu hulala kando ya kila madhabahu 2 juu ya nguo zilizowekwa rehani. 1 Katika nyumba ya mungu wao hunywa mvinyo 2 ulionunuliwa kwa fedha walizotozwa watu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they lay themselves down upon clothes laid to pledge by every altar, and they drink the wine of the condemned in the house of their god.

In Context

7Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini, 2 kama vile juu ya mavumbi ya nchi, 2 na kukataa haki kwa walioonewa. 1 Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja, 2 kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu. 1

9“Nilimwangamiza Mwamori mbele yao, 2 ingawa alikuwa mrefu kama mierezi, 2 na mwenye nguvu kama mialoni. 1 Niliyaangamiza matunda yake juu 2 na mizizi yake chini. 1

Read all of Amos 2

Cross References

Exodus 22:25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.

Deuteronomy 24:12Ikiwa mtu huyo ni maskini, usiende kulala ukiwa na hiyo rehani yake katika milki yako.

Isaiah 57:7Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, 2 huko ulikwenda kutoa dhabihu zako. 1

Ezekiel 18:12Huwaonea maskini na wahitaji. 1 Hunyangʼanyana. 1 Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. 1 Huziinulia sanamu macho. 1 Hufanya mambo ya machukizo. 1

Hosea 4:8Hujilisha dhambi za watu wangu 2 na kupendezwa na uovu wao. 1

Amos 6:4Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu, 2 na kujinyoosha juu ya viti vya fahari. 1 Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri 2 na ndama walionenepeshwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:7Amos 2Amos 2:9 →