The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 2 › Amos 2:7

Amos 2:7

Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini, 2 kama vile juu ya mavumbi ya nchi, 2 na kukataa haki kwa walioonewa. 1 Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja, 2 kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That pant after the dust of the earth on the head of the poor, and turn aside the way of the meek: and a man and his father will go in unto the same maid, to profane my holy name:

In Context

6Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Israeli, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Wanawauza wenye haki kwa fedha, 2 na maskini kwa jozi ya viatu. 1

8Watu hulala kando ya kila madhabahu 2 juu ya nguo zilizowekwa rehani. 1 Katika nyumba ya mungu wao hunywa mvinyo 2 ulionunuliwa kwa fedha walizotozwa watu. 1

Read all of Amos 2

Cross References

Leviticus 18:15“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.

Leviticus 20:3Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu huyo, nami nitamkatilia mbali na watu wake. Kwa maana kwa kumtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, amenajisi madhabahu yangu na kulinajisi Jina langu takatifu.

1 Kings 21:4Basi Ahabu akaenda nyumbani, mwenye huzuni na hasira kwa sababu ya yale ambayo Nabothi, Myezreeli, alikuwa amesema, “Sitakupa urithi wa baba zangu.” Akajinyoosha juu ya kitanda akisononeka, na akakataa kula.

Isaiah 3:14Bwana anaingia katika hukumu 2 dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: 1 “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, 2 mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu. 1

Isaiah 10:1Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, 2 kwa wale watoao amri za kuonea, 1

Ezekiel 22:11Ndani yako mtu hufanya mambo ya machukizo na mke wa jirani yake, mwingine kwa aibu kubwa hukutana kimwili na mke wa mwanawe, mwingine humtenda jeuri dada yake, binti wa baba yake hasa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 2:6Amos 2Amos 2:8 →