Amos 3:14
“Siku nitakapomwadhibu Israeli kwa sababu ya dhambi zake, 2 nitaharibu madhabahu za Betheli; 1 pembe za madhabahu zitakatiliwa mbali 2 na kuanguka chini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1
Cross References
1 Kings 13:2Akapiga kelele dhidi ya madhabahu kwa neno la Bwana: “Ee madhabahu, madhabahu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Mwana aitwaye Yosia atazaliwa katika nyumba ya Daudi. Juu yako atawatoa dhabihu makuhani wa mahali pa juu pa kuabudia miungu wale ambao wanatoa sadaka hapa sasa, nayo mifupa ya wanadamu itachomwa juu yako.’ ”
2 Kings 23:15Hata madhabahu yaliyokuwa huko Betheli, mahali pa juu pa kuabudia miungu palipokuwa pamejengwa na Yeroboamu mwana wa Nebati, ambaye aliwafanya Israeli watende dhambi, alibomoa hata hayo madhabahu na mahali pa juu pa kuabudia miungu. Alipateketeza kwa moto hapo mahali pa juu pa kuabudia miungu na kupasaga hadi pakawa vumbi, na kuichoma hiyo nguzo ya Ashera pia.
2 Chronicles 34:6Katika miji ya Manase, Efraimu na Simeoni, hadi Naftali na kwenye magofu yanayoizunguka,
Hosea 10:8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1
Amos 5:5msitafute Betheli, 1 msiende Gilgali, 2 msisafiri kwenda Beer-Sheba. 1 Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni, 2 na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” + 5:5 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1
Amos 9:1Nilimwona Bwana akiwa amesimama kando ya madhabahu, naye akasema: 1 “Piga vichwa vya nguzo 2 ili vizingiti vitikisike. 1 Viangushe juu ya vichwa vya watu wote; 2 na wale watakaosalia nitawaua kwa upanga. 1 Hakuna awaye yote atakayekimbia, 2 hakuna atakayetoroka. 1