Ayubu 20:19
Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; 2 amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; 2 hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 1
20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake. 1
Cross References
1 Samuel 12:3Mimi ninasimama hapa. Shuhudieni juu yangu mbele za Bwana na mpakwa mafuta wake. Nimechukua maksai wa nani? Nimechukua punda wa nani? Ni nani nimepata kumdanganya? Ni nani nimepata kumwonea? Ni kutoka kwenye mkono wa nani nimepokea rushwa ili kunifanya nifumbe macho yangu? Kama nimefanya chochote katika hivi, mimi nitawarudishia.”
Job 18:15Moto utakaa katika hema lake; 2 moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake. 1
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
Job 31:13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, 2 walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 1
Job 35:9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1