Isaiah 13:19
Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 29:23Nchi yote itakuwa jaa linaloungua la chumvi na kiberiti: hakutakuwa kilichopandwa, hakutakuwa kinachochipua, wala hakutakuwa mimea inayoota juu yake. Itakuwa kama maangamizo ya Sodoma na Gomora, Adma na Seboimu, ambazo Bwana aliangamiza kwa hasira kali.
Isaiah 14:12Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, 2 ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! 1 Umetupwa chini duniani, 2 wewe uliyepata kuangusha mataifa! 1
Jeremiah 50:40Kama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote 2 atakayeishi humo. 1 Naam, hakuna mtu yeyote 2 atakayekaa humo. 1
Daniel 2:37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.
Amos 4:11“Niliwaangamiza baadhi yenu kama 2 nilivyoangamiza Sodoma na Gomora. 1 Mlikuwa kama kijiti kiwakacho kilichonyakuliwa motoni, 2 hata hivyo hamjanirudia,” 4 asema Bwana. 1