Amos 4:12
“Kwa hiyo hili ndilo nitakalowafanyia, Israeli, 2 na kwa sababu nitawafanyia hili, 2 jiandaeni kukutana na Mungu wenu, ee Israeli.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 47:3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1
Ezekiel 22:30“Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, ambaye angejenga ukuta na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka kwa ajili ya watu wa nchi ili nisije nikaiangamiza, lakini sikumwona mtu yeyote.
Amos 2:14Mkimbiaji hodari hatanusurika, 2 wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, 2 na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 1
Amos 5:4Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli: 1 “Nitafuteni mpate kuishi; 2
Matthew 5:25“Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.
Mark 13:32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.