Amos 5:11
Mnamgandamiza maskini 2 na kumlazimisha awape nafaka. 1 Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, 2 hamtaishi ndani yake; 1 ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, 2 hamtakunywa divai yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1
Cross References
Leviticus 26:16ndipo nitakapowafanyia hili: Nitawaletea juu yenu hofu ya ghafula, magonjwa ya kufisha, na homa itakayopofusha macho yenu na kuwaondolea uhai wenu. Mtapanda mbegu bila mafanikio, kwa sababu adui zenu wataila.
Deuteronomy 28:38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1
Isaiah 65:21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1
Hosea 9:2Sakafu za kupuria nafaka na mashinikizo ya kukamulia divai 2 havitalisha watu, 2 divai mpya itawapungukia. 1
Amos 3:15Nitabomoa nyumba ya wakati wa masika, 2 pamoja na nyumba ya wakati wa kiangazi; 1 nyumba zilizonakshiwa kwa pembe za ndovu 2 na majumba makubwa ya fahari yatabomolewa,” 4 asema Bwana.