Amosi 6:5
Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, 2 huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That chant to the sound of the viol, and invent to themselves instruments of musick, like David;
In Context
Cross References
Genesis 31:27Kwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
1 Chronicles 23:5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1
Amos 8:3Bwana Mwenyezi asema, “Katika siku ile, nyimbo katika Hekalu zitageuka kuwa maombolezo. Miili mingi, mingi sana: itatupwa kila mahali! Kimya!” 1
Revelation 18:22Nyimbo za wapiga vinubi na waimbaji, 2 wapiga filimbi na wapiga tarumbeta 2 kamwe hazitasikika tena ndani yako. 1 Ndani yako kamwe hataonekana tena fundi 2 mwenye ujuzi wa aina yoyote. 1 Wala sauti ya jiwe la kusagia 2 kamwe haitasikika tena. 1