Amos 5:24
Lakini acheni haki itiririke kama mto, 2 na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But let judgment run down as waters, and righteousness as a mighty stream.
In Context
23Niondoleeni kelele za nyimbo zenu! 2 Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. 1
25“Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1
Cross References
Proverbs 21:3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika 2 zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 1
Hosea 6:6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1
Amos 5:14Tafuteni mema, wala si mabaya, 2 ili mpate kuishi. 1 Ndipo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, 2 kama msemavyo yupo nanyi. 1
Mark 12:32Yule mwalimu wa sheria akamwambia Yesu, “Mwalimu, umejibu vyema kwamba Mungu ni mmoja, wala hakuna mwingine ila yeye.