Amos 5:3
Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “Wakati mmoja wa miji yako utakapopeleka watu elfu moja vitani kwa ajili ya Israeli, 2 mia moja tu watarudi; 1 wakati mji utakapopeleka mia moja, 2 kumi tu ndio watarudi hai.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli: 1 “Nitafuteni mpate kuishi; 2
Cross References
Deuteronomy 28:62Ninyi ambao mlikuwa wengi kama nyota za angani mtaachwa wachache tu, kwa sababu hamkumtii Bwana Mungu wenu.
Isaiah 1:9Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote + 1:9 Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4. 2 asingelituachia walionusurika, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora. 1
Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1
Amos 6:9Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa.