The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:22

Isaiah 10:22

Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For though thy people Israel be as the sand of the sea, yet a remnant of them shall return: the consumption decreed shall overflow with righteousness.

In Context

21Mabaki watarudi, + 10:21 Kiebrania ni Shear-Yashubu, pia 22. mabaki wa Yakobo 2 watamrudia Mungu Mwenye Nguvu. 1

23Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza 2 maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

Read all of Isaiah 10

Cross References

1 Kings 4:20Watu wa Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani; walikula, wakanywa na kufurahi.

Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1

Isaiah 8:8na kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake, 2 yakipita katikati na yakifika hadi shingoni. 1 Mabawa yake yaliyokunjuliwa 2 yatafunika upana wa nchi yako, 2 Ee Imanueli!” + 8:8 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi. 1

Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”

Isaiah 37:31Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1

Jeremiah 3:14“Rudini, enyi watu msio waaminifu, kwa kuwa mimi ni mume wenu,” asema Bwana. “Nitawachagua ninyi, mmoja kutoka kwenye mji, na wawili kutoka kwenye ukoo, nami nitawaleta Sayuni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:21Isaiah 10Isaiah 10:23 →