Amosi 6:9
Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass, if there remain ten men in one house, that they shall die.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:33Kila mmoja wenu ambaye sitamkatilia mbali kutoka madhabahuni pangu atabakizwa tu kupofusha macho yenu kwa machozi na kuihuzunisha mioyo yenu, nao wazao wenu wote watakufa watakapokuwa wamefikia umri wa kustawi.
Esther 9:10wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchukua nyara.
Job 1:19ghafula upepo wenye nguvu ukavuma kutoka jangwani, nao ukaipiga nyumba hiyo pembe zake nne. Ikawaangukia hao watoto nao wamekufa, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari!”
Psalms 109:13Uzao wake na ukatiliwe mbali, 2 majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 1
Amos 5:3Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “Wakati mmoja wa miji yako utakapopeleka watu elfu moja vitani kwa ajili ya Israeli, 2 mia moja tu watarudi; 1 wakati mji utakapopeleka mia moja, 2 kumi tu ndio watarudi hai.”