The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 6 › Amos 6:8

Amos 6:8

Bwana Mwenyezi ameapa kwa nafsi yake mwenyewe: Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asema: 1 “Nachukia kiburi cha Yakobo, 2 nachukia ngome zake; 1 nitautoa mji wao na kila kitu 2 kilichomo ndani mwake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Lord GOD hath sworn by himself, saith the LORD the God of hosts, I abhor the excellency of Jacob, and hate his palaces: therefore will I deliver up the city with all that is therein.

In Context

7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni; 2 karamu zenu na kustarehe kutakoma. 1 Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli

9Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa.

Read all of Amos 6

Cross References

Leviticus 26:11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia.

Deuteronomy 32:19Bwana akaona hili, akawakataa, 2 kwa sababu alikasirishwa 2 na wanawe na binti zake. 1

Psalms 50:12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, 2 kwa maana ulimwengu ni wangu, 2 pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 1

Psalms 106:40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake 2 na akauchukia sana urithi wake. 1

Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

Jeremiah 22:14Asema, ‘Nitajijengea jumba kuu la kifalme, 2 na vyumba vya juu vyenye nafasi kubwa.’ 1 Hivyo anaweka ndani yake madirisha makubwa, 2 huweka kuta za mbao za mierezi, 2 na kuipamba kwa rangi nyekundu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 6:7Amos 6Amos 6:9 →