The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 7 › Amos 7:16

Amos 7:16

Sasa basi, sikieni neno la Bwana. Ninyi mnasema, 1 “ ‘Usitabiri dhidi ya Israeli, 2 na uache kuhubiri dhidi ya nyumba ya Isaki.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore hear thou the word of the LORD: Thou sayest, Prophesy not against Israel, and drop not thy word against the house of Isaac.

In Context

15Lakini Bwana akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’

17“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Mke wako atakuwa kahaba mjini, 2 nao wana wako na binti zako watauawa kwa upanga. 1 Shamba lako litapimwa na kugawanywa, 2 na wewe mwenyewe utafia katika nchi ya kipagani. 1 Nayo Israeli kwa hakika itakwenda uhamishoni, 2 mbali na nchi yao.’ ”

Read all of Amos 7

Cross References

1 Samuel 15:16Samweli akamwambia Sauli, “Ngoja! Nami nitakuambia lile Bwana aliloniambia usiku huu.” Sauli akajibu, “Niambie.”

1 Kings 22:19Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto.

Isaiah 30:10Wanawaambia waonaji, 2 “Msione maono tena!” 1 Nako kwa manabii wanasema, 2 “Msiendelee kutupatia maono 2 ambayo ni ya kweli! 1 Tuambieni mambo ya kupendeza, 2 tabirini mambo ya uongo. 1

Ezekiel 16:35“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la Bwana!

Ezekiel 21:2“Mwanadamu, uelekeze uso wako juu ya Yerusalemu na uhubiri dhidi ya mahali patakatifu. Tabiri dhidi ya nchi ya Israeli

Micah 2:6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 7:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 7:15Amos 7Amos 7:17 →