The Bible Software
bible.softwareAmosiAmosi 8 › Amosi 8:3

Amosi 8:3

Bwana Mwenyezi asema, “Katika siku ile, nyimbo katika Hekalu zitageuka kuwa maombolezo. Miili mingi, mingi sana: itatupwa kila mahali! Kimya!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the songs of the temple shall be howlings in that day, saith the Lord GOD: there shall be many dead bodies in every place; they shall cast them forth with silence.

In Context

2Akaniuliza, “Amosi, unaona nini?” Nikajibu, “Kikapu chenye matunda yaliyoiva.” Ndipo Bwana akaniambia, “Wakati umewadia kwa watu wangu Israeli; sitawahurumia zaidi.”

4Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, 2 na kuwaonea maskini wa nchi,

Read all of Amosi 8

Cross References

Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

Jeremiah 22:18Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda: 1 “Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, ndugu yangu! Ole, umbu langu!’ 1 Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, bwana wangu! Ole, fahari yake!’ 1

Joel 1:5Amkeni, enyi walevi, mlie! 2 Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo, 1 pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya, 2 kwa kuwa mmenyangʼanywa 2 kutoka midomoni mwenu. 1

Joel 1:13Vaeni nguo ya gunia, enyi makuhani, muomboleze; 2 pigeni yowe, enyi mnaohudumu madhabahuni. 1 Njooni, vaeni nguo ya gunia usiku kucha, 2 enyi mnaohudumu mbele za Mungu wangu; 1 kwa kuwa sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimezuiliwa kufika katika nyumba ya Mungu wenu. 1

Amos 5:16Kwa hiyo hili ndilo Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo: 1 “Kutakuwepo maombolezo katika barabara zote 2 na vilio vya uchungu katika njia kuu zote. 1 Wakulima wataitwa kuja kulia, 2 na waombolezaji waje kuomboleza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 8:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 8:2Amosi 8Amosi 8:4 →