The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 5 › Amos 5:16

Amos 5:16

Kwa hiyo hili ndilo Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo: 1 “Kutakuwepo maombolezo katika barabara zote 2 na vilio vya uchungu katika njia kuu zote. 1 Wakulima wataitwa kuja kulia, 2 na waombolezaji waje kuomboleza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the LORD, the God of hosts, the Lord, saith thus; Wailing shall be in all streets; and they shall say in all the highways, Alas! alas! and they shall call the husbandman to mourning, and such as are skilful of lamentation to wailing.

In Context

15Yachukieni maovu, yapendeni mema; 2 dumisheni haki mahakamani. 1 Yamkini Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote 2 atawahurumia mabaki ya Yosefu.

17Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu, 2 kwa kuwa nitapita katikati yenu,” 4 asema Bwana. 1 Siku Ya Bwana 1

Read all of Amos 5

Cross References

Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1

Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Jeremiah 9:10Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima 2 na kuomboleza kuhusu malisho ya jangwani. 1 Yamekuwa ukiwa, wala hakuna apitaye humo, 2 milio ya ngʼombe haisikiki. 1 Ndege wa angani wametoroka 2 na wanyama wamekimbia. 1

Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1

Joel 1:8Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia 2 anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake. 1

Joel 1:14Tangazeni saumu takatifu; 2 liiteni kusanyiko takatifu. 1 Iteni wazee 2 na wote waishio katika nchi 1 waende katika nyumba ya Bwana Mungu wenu, 2 wakamlilie Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 5:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 5:15Amos 5Amos 5:17 →