Joel 1:5
Amkeni, enyi walevi, mlie! 2 Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo, 1 pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya, 2 kwa kuwa mmenyangʼanywa 2 kutoka midomoni mwenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1
Jeremiah 4:8Hivyo vaeni nguo za magunia, 2 ombolezeni na kulia kwa huzuni, 1 kwa kuwa hasira kali ya Bwana 2 haijaondolewa kwetu. 1
Joel 1:11Kateni tamaa, enyi wakulima, 2 lieni, enyi mlimao mizabibu; 1 huzunikeni kwa ajili ya ngano na shayiri, 2 kwa sababu mavuno ya shambani yameharibiwa. 1
Joel 3:3Wanawapigia kura watu wangu 2 na kuwauza wavulana ili kupata makahaba; 1 waliwauza wasichana 2 ili wapate kunywa mvinyo.
Luke 16:19“Palikuwa na mtu mmoja tajiri aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ambaye aliishi kwa anasa kila siku.
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.