Isaya 61:4
Watajenga upya magofu ya zamani 2 na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; 1 watafanya upya miji iliyoharibiwa, 2 iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 9:9Ingawa tu watumwa, Mungu wetu hajatuacha katika kufungwa kwetu. Ametuonyesha huruma mbele ya wafalme wa Uajemi: Ametujalia maisha mapya kwa kujenga upya nyumba ya Mungu wetu na kukarabati magofu yake, naye ametupa ukuta wa ulinzi katika Yuda na Yerusalemu.
Isaiah 49:8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Wakati wangu uliokubalika nitakujibu, 2 nami katika siku ya wokovu nitakusaidia; 1 nitakuhifadhi, nami nitakufanya 2 kuwa agano kwa ajili ya watu, 1 ili kurudisha nchi 2 na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 1
Ezekiel 36:23Nitauonyesha utakatifu wa Jina langu kuu, ambalo limetiwa unajisi miongoni mwa mataifa, jina ambalo limetiwa unajisi miongoni mwao. Ndipo mataifa watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana, asema Bwana Mwenyezi, nitakapojionyesha mwenyewe kuwa mtakatifu kwa kuwapitia ninyi mbele ya macho yao.
Amos 9:14Nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa; 2 wataijenga tena miji iliyoachwa magofu, 2 nao wataishi ndani mwake. 1 Watapanda mizabibu na kunywa divai yake; 2 watalima bustani na kula matunda yake. 1