Amos 9:13
“Siku zinakuja,” asema Bwana, 1 “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima, 2 naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu. 1 Divai mpya itadondoka kutoka milimani, 2 na kutiririka kutoka vilima vyote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:5Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.
Psalms 97:5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana, 2 mbele za Bwana wa dunia yote. 1
Isaiah 55:13Badala ya kichaka cha miiba 2 itaota miti ya misunobari, 1 na badala ya michongoma 2 utaota mhadasi. + 55:13 Mhadasi ni aina ya mti ambao huota milimani karibu na Yerusalemu, hutoa harufu nzuri itumikayo kutengeneza manukato; kwa Kiebrania ni “hadas”, na ilikuwa inatumika kujenga vibanda wakati wa Sikukuu ya Vibanda (ona pia Neh 8:15 ). 1 Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, 2 kwa ajili ya ishara ya milele, 2 ambayo haitaharibiwa.”
Hosea 2:21“Katika siku ile nitajibu,” 2 asema Bwana, 1 “nitajibu kwa anga, 2 nazo anga zitajibu kwa nchi; 1
Joel 3:20Yuda itakaliwa na watu milele 2 na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 1
John 4:35Je, ninyi hamsemi, ‘Bado miezi minne tuvune?’ Inueni macho yenu myaangalie mashamba jinsi mazao yalivyo tayari kuvunwa!