The Bible Software
bible.software › Amosi › Amosi 9 › Amosi 9:6

Amosi 9:6

yeye ambaye hujenga jumba lake la kifalme katika mbingu 2 na kuisimika misingi yake juu ya dunia, 1 yeye aitaye maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is he that buildeth his stories in the heaven, and hath founded his troop in the earth; he that calleth for the waters of the sea, and poureth them out upon the face of the earth: The LORD is his name.

In Context

5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka, 2 na wote wakaao ndani mwake wakaomboleza: 1 nayo nchi yote huinuka kama Naili, 2 kisha hushuka kama mto wa Misri; 1

7“Je, Waisraeli, 2 ninyi si sawa kwangu kama Wakushi?” 4 asema Bwana. 1 “Je, sikuleta Israeli kutoka Misri, 2 Wafilisti kutoka Kaftori, + 9:7 Yaani Krete. 2 na Washamu kutoka Kiri? 1

Read all of Amosi 9

Cross References

Genesis 7:11Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.

Exodus 3:14Mungu akamwambia Mose, “ Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ Mimi niko amenituma kwenu.’ ”

Psalms 104:5Ameiweka dunia kwenye misingi yake, 2 haiwezi kamwe kuondoshwa. 1

Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1

Amos 5:8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, 2 ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko 2 na mchana kuwa usiku, 1 ambaye huyaita maji ya bahari 2 na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: 2 Bwana ndilo jina lake; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amosi 9:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amosi 9:5Amosi 9Amosi 9:7 →