Daniel 11:27
Wafalme hawa wawili, mioyo yao ikiwa imekusudia mabaya, wataketi kwenye meza moja na kudanganyana wao kwa wao, lakini pasipo faida, kwa sababu bado mwisho utakuja katika wakati ulioamriwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 13:26Basi Absalomu akasema, “Kama hutakuja, tafadhali mruhusu ndugu yangu Amnoni twende pamoja naye.” Mfalme akamuuliza, “Kwa nini aende pamoja nawe?”
Psalms 52:1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? 2 Kwa nini unajivuna mchana kutwa, 2 wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 1
Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1
Proverbs 12:20Upo udanganyifu katika mioyo 2 ya wale ambao hupanga mabaya, 2 bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. 1
Proverbs 23:6Usile chakula cha mtu mchoyo, 2 usitamani vyakula vyake vitamu, 1
Jeremiah 9:3“Huweka tayari ndimi zao kama upinde, 2 ili kurusha uongo; 1 wamekuwa na nguvu katika nchi 2 lakini si katika ukweli. 1 Wanatoka dhambi moja hadi nyingine, 2 hawanitambui mimi,” 4 asema Bwana. 1