Proverbs 23:6
Usile chakula cha mtu mchoyo, 2 usitamani vyakula vyake vitamu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Eat thou not the bread of him that hath an evil eye, neither desire thou his dainty meats:
In Context
Cross References
Deuteronomy 15:9Jihadhari usijiwekee wazo hili ovu: “Mwaka wa saba, mwaka wa kufuta madeni umekaribia,” usije ukaonyesha nia mbaya kwa ndugu yako mhitaji na ukaacha kumpa chochote. Anaweza kumlalamikia Bwana dhidi yako nawe utakuwa umepatikana na hatia ya dhambi.
Psalms 141:4Usiuache moyo wangu uvutwe katika jambo baya, 2 nisije nikashiriki katika matendo maovu 1 pamoja na watu watendao mabaya, 2 wala nisije nikala vyakula vyao vya anasa. 1
Proverbs 23:3Usitamani vyakula vyake vitamu 2 kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 1
Daniel 1:8Lakini Danieli alikusudia kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme na divai, naye akamwomba mkuu wa maafisa ruhusa ili asijinajisi kwa njia hii.
Mark 7:22tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, matukano, kiburi na upumbavu.