Daniel 11:40
“Katika wakati wa mwisho, mfalme wa Kusini atapigana naye vita, naye mfalme wa Kaskazini atamshambulia kwa magari ya vita, askari wapanda farasi, na idadi kubwa ya meli. Atavamia nchi nyingi na kuzikumba nchi hizo kama mafuriko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 21:1Neno kuhusu Jangwa kando ya Bahari: 2 Kama upepo wa kisulisuli unaopita katika nchi hadi kusini, 2 mshambuliaji anakuja kutoka jangwani, 2 kutoka nchi inayotisha. 1
Jeremiah 4:13Tazama! Anakuja kama mawingu, 2 magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli, 1 farasi wake wana mbio kuliko tai. 2 Ole wetu! Tunaangamia! 1
Ezekiel 38:9Wewe na vikosi vyako vyote na mataifa mengi yaliyo pamoja nawe mtapanda juu, mtawazoa kama tufani na kuifunika nchi kama wingu.
Daniel 8:17Alipokuwa akikaribia pale nilipokuwa nimesimama, niliogopa, nikaanguka kifudifudi. Akaniambia, “Mwana wa mwanadamu, fahamu kuwa maono haya yanahusu siku za mwisho.”
Daniel 11:10Wana wa mfalme wa Kaskazini watajiandaa kwa vita na kukusanya jeshi kubwa, ambalo litafagia nchi kama mafuriko yasiyozuilika na kuendelea na vita hadi kwenye ngome ya mfalme wa Kusini.
Daniel 11:26Wale wanaokula kutoka kwenye ruzuku za mfalme watajaribu kumwangamiza; jeshi lake litafagiliwa mbali, nao wengi watakufa vitani.