Jeremiah 4:13
Tazama! Anakuja kama mawingu, 2 magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli, 1 farasi wake wana mbio kuliko tai. 2 Ole wetu! Tunaangamia! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:28Mishale yao ni mikali, 2 pinde zao zote zimevutwa, 1 kwato za farasi wao ziko kama jiwe la gumegume, 2 magurudumu ya magari yao ya vita ni kama upepo wa kisulisuli. 1
Isaiah 19:1Neno kuhusu Misri: 1 Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka 2 naye anakuja Misri. 1 Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, 2 nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 1
Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”
Jeremiah 10:19Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu! 2 Jeraha langu ni kubwa! 1 Lakini nilisema, 2 “Kweli hii ni adhabu yangu, 2 nami sharti niistahimili.” 1
Jeremiah 48:40Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama! Tai anashuka chini, 2 akitanda mabawa yake juu ya Moabu. 1
Daniel 7:4“Mnyama wa kwanza alifanana na simba, naye alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikatazama mpaka mabawa yake yalipongʼolewa, naye akainuliwa katika nchi, akasimama kwa miguu miwili kama mwanadamu, naye akapewa moyo wa binadamu.