Daniel 2:19
Wakati wa usiku lile fumbo lilifunuliwa kwa Danieli katika maono. Ndipo Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then was the secret revealed unto Daniel in a night vision. Then Daniel blessed the God of heaven.
In Context
20na akasema: 1 “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; 2 hekima na uweza ni vyake. 1
Cross References
Numbers 12:6Bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu: 1 “Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu, 2 nitajifunua kwake kwa maono, 2 nitanena naye katika ndoto. 1
Job 4:13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, 2 hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 1
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Daniel 2:22Hufunua siri na mambo yaliyofichika; 2 anajua yale yaliyo gizani, 2 nayo nuru hukaa kwake. 1
Daniel 4:9Nilisema, “Belteshaza, mkuu wa waganga, ninajua kuwa roho ya miungu mitakatifu iko ndani yako, wala hakuna siri iliyo ngumu kwako. Hii ndiyo ndoto yangu, nifasirie.
Amos 3:7Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1