The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 2 › Daniel 2:22

Daniel 2:22

Hufunua siri na mambo yaliyofichika; 2 anajua yale yaliyo gizani, 2 nayo nuru hukaa kwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He revealeth the deep and secret things: he knoweth what is in the darkness, and the light dwelleth with him.

In Context

21Yeye hubadili nyakati na majira; 2 huwaweka wafalme na kuwaondoa. 1 Huwapa hekima wenye hekima, 2 na maarifa wenye ufahamu. 1

23Ninakushukuru na kukuhimidi, 2 Ee Mungu wa baba zangu: 2 Umenipa hekima na uwezo, 1 umenijulisha kile tulichokuomba, 2 umetujulisha ndoto ya mfalme.” 1 Danieli Aifasiri Ndoto

Read all of Daniel 2

Cross References

Genesis 41:16Yosefu akamjibu Farao, “Siwezi kuifasiri, lakini Mungu atampa Farao jibu analolihitaji.”

Deuteronomy 29:28Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu Bwana aliwangʼoa kutoka nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”

Job 26:6Mauti + 26:6 Yaani Kuzimu; Kiebrania ni Sheol. iko wazi mbele za Mungu; 2 Uharibifu + 26:6 Kwa Kiebrania ni Abadon. haukufunikwa. 1

Psalms 36:9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, 2 katika nuru yako twaona nuru. 1

Psalms 139:11Kama nikisema, “Hakika giza litanificha 2 na nuru inayonizunguka iwe usiku,” 1

Ecclesiastes 8:1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? 1 Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? 2 Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 1 Mtii Mfalme

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 2:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 2:21Daniel 2Daniel 2:23 →