Daniel 2:21
Yeye hubadili nyakati na majira; 2 huwaweka wafalme na kuwaondoa. 1 Huwapa hekima wenye hekima, 2 na maarifa wenye ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20na akasema: 1 “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; 2 hekima na uweza ni vyake. 1
22Hufunua siri na mambo yaliyofichika; 2 anajua yale yaliyo gizani, 2 nayo nuru hukaa kwake. 1
Cross References
Exodus 31:3nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
1 Kings 3:28Wakati Israeli yote iliposikia hukumu aliyotoa mfalme, wakamwogopa mfalme, kwa sababu waliona kuwa alikuwa na hekima kutoka kwa Mungu kwa kutoa haki.
1 Kings 10:24Dunia yote ikatafuta kukutana na Solomoni ili kusikia hekima ambayo Mungu alikuwa ameiweka katika moyo wake.
1 Chronicles 29:30pamoja na habari zote za utawala wake, nguvu zake na matukio yaliyompata yeye, na Israeli, na falme za nchi nyingine zote.
Esther 1:13Kwa kuwa ilikuwa desturi ya mfalme kupata ushauri kwa wataalamu katika mambo ya sheria na haki, alizungumza na watu wenye busara, ambao walijua nyakati,