Ayubu 26:6
Mauti + 26:6 Yaani Kuzimu; Kiebrania ni Sheol. iko wazi mbele za Mungu; 2 Uharibifu + 26:6 Kwa Kiebrania ni Abadon. haukufunikwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hell is naked before him, and destruction hath no covering.
In Context
5“Wafu wako katika maumivu makuu, 2 wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 1
7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu; 2 naye huiningʼiniza dunia mahali pasipo na kitu. 1
Cross References
Job 11:8Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? 2 Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: 2 wewe waweza kujua nini? 1
Job 31:12Ni moto uwakao kwa Uharibifu; + 31:12 Kwa Kiebrania ni Abadon ( Ay 26:6; Mit 15:11 ). 2 ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 1
Psalms 88:10Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? 2 Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu? 1
Psalms 139:11Kama nikisema, “Hakika giza litanificha 2 na nuru inayonizunguka iwe usiku,” 1
Isaiah 14:9Kuzimu kote kumetaharuki 2 kukulaki unapokuja, 1 kunaamsha roho za waliokufa ili kukupokea, 2 wote waliokuwa viongozi katika ulimwengu, 1 kunawafanya wainuke kwenye viti vyao vya kifalme: 2 wale wote waliokuwa wafalme juu ya mataifa. 1
Hebrews 4:13Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote