Daniel 4:12
Majani yake yalikuwa ya kupendeza, matunda yake yalikuwa mengi, na juu yake kulikuwa na chakula kwa ajili ya wote. Chini ya kivuli chake wanyama wa kondeni walipata hifadhi, na ndege wa angani waliishi katika matawi yake. Kila kiumbe kililishwa kutokana na mti huo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 12:24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; 2 huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 1
Job 14:9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua 2 na kutoa machipukizi kama mche. 1
Lamentations 4:20Mpakwa mafuta wa Bwana, pumzi ya uhai wetu hasa, 2 alinaswa katika mitego yao. 1 Tulifikiri kwamba chini ya kivuli chake 2 tungeliweza kuishi miongoni mwa mataifa. 1
Ezekiel 31:6Ndege wote wa angani 2 wakaweka viota kwenye vitawi vyake, 1 wanyama wote wa shambani 2 wakazaana chini ya matawi yake, 1 mataifa makubwa yote 2 yaliishi chini ya kivuli chake. 1
Mark 13:32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.