Daniel 4:27
Kwa hiyo, ee mfalme, uwe radhi kupokea shauri langu: Acha dhambi zako kwa kutenda yaliyo haki, ukaache uovu wako, na uwe na huruma kwa walioonewa. Hivyo itawezekana baada ya hayo, mafanikio yako yakaendelea.” 1 Ndoto Inatimia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Haya yote yalimpata Mfalme Nebukadneza.
Cross References
Genesis 41:33“Basi sasa Farao na atafute mtu mwenye akili na hekima ili amweke kuwa msimamizi wa nchi ya Misri.
Deuteronomy 32:27Lakini nilihofia dhihaka za adui, 2 adui asije akashindwa kuelewa, 1 na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; 2 Bwana hakufanya yote haya.’ ” 1
Job 34:31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, 2 ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 1
Psalms 119:46Nitasema sheria zako mbele za wafalme 2 wala sitaaibishwa, 1
Proverbs 16:6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; 2 kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 1
Isaiah 10:13Kwa kuwa anasema: 1 “ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili, 2 kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu. 1 Niliondoa mipaka ya mataifa, 2 niliteka nyara hazina zao, 1 kama yeye aliye shujaa 2 niliwatiisha wafalme wao. 1