The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 5 › Daniel 5:6

Daniel 5:6

Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then the king’s countenance was changed, and his thoughts troubled him, so that the joints of his loins were loosed, and his knees smote one against another.

In Context

5Ghafula vidole vya mkono wa mwanadamu vilitokea na kuandika juu ya ukuta, karibu na kinara cha taa ndani ya jumba la mfalme. Mfalme akatazama kitanga kilivyokuwa kikiandika.

7Mfalme akawaita wasihiri, wanajimu na waganga waletwe, naye akawaambia hawa wenye hekima wa Babeli, “Yeyote asomaye maandishi haya na kuniambia maana yake atavikwa nguo za zambarau, na kuvikwa mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atafanywa mtawala wa cheo cha tatu katika ufalme.”

Read all of Daniel 5

Cross References

Job 20:19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; 2 amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 1

Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1

Isaiah 13:7Kwa sababu ya hili, mikono yote italegea, 2 moyo wa kila mtu utayeyuka. 1

Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1

Ezekiel 7:17Kila mkono utalegea na kila goti litakuwa dhaifu kama maji.

Daniel 2:1Katika mwaka wa pili wa utawala wake, Nebukadneza aliota ndoto. Mawazo yake yakasumbuka na hakuweza kulala.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 5:5Daniel 5Daniel 5:7 →