The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 7 › Daniel 7:4

Daniel 7:4

“Mnyama wa kwanza alifanana na simba, naye alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikatazama mpaka mabawa yake yalipongʼolewa, naye akainuliwa katika nchi, akasimama kwa miguu miwili kama mwanadamu, naye akapewa moyo wa binadamu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The first was like a lion, and had eagle’s wings: I beheld till the wings thereof were plucked, and it was lifted up from the earth, and made stand upon the feet as a man, and a man’s heart was given to it.

In Context

3Wanyama wanne wakubwa, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka bahari.

5“Hapo mbele yangu kulikuwa na mnyama wa pili, ambaye alionekana kama dubu. Upande wake mmoja ulikuwa umeinuka, na alikuwa na mbavu tatu katika kinywa chake kati ya meno yake. Akaambiwa, ‘Amka, ule nyama mpaka ushibe!’

Read all of Daniel 7

Cross References

2 Samuel 1:23“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1

Psalms 9:20Ee Bwana, wapige kwa hofu, 2 mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Isaiah 14:13Ulisema moyoni mwako, 2 “Nitapanda juu hadi mbinguni, 1 nitakiinua kiti changu cha enzi 2 juu ya nyota za Mungu, 1 nitaketi nimetawazwa 2 juu ya mlima wa kusanyiko, 2 kwenye vimo vya juu sana vya Mlima Mtakatifu. 1

Jeremiah 4:13Tazama! Anakuja kama mawingu, 2 magari yake yanakuja kama upepo wa kisulisuli, 1 farasi wake wana mbio kuliko tai. 2 Ole wetu! Tunaangamia! 1

Jeremiah 25:38Kama simba ataacha pango lake, 2 nchi yao itakuwa ukiwa 1 kwa sababu ya upanga wa mdhalimu, 2 na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.

Jeremiah 49:19“Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani 2 kuja kwenye nchi ya malisho mengi, 1 ndivyo nitamfukuza Edomu kutoka nchi yake ghafula. 2 Ni nani aliye mteule nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? 1 Ni nani aliye kama mimi, 2 na ni nani awezaye kunipinga? 1 Tena ni mchungaji yupi awezaye 2 kusimama kinyume nami?” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 7:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 7:3Daniel 7Daniel 7:5 →