Daniel 8:14
Akaniambia, “Itachukua siku 2,300. Ndipo mahali patakatifu patawekwa wakfu tena.” 1 Tafsiri Ya Maono
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto me, Unto two thousand and three hundred days; then shall the sanctuary be cleansed.
In Context
Cross References
Genesis 1:5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Isaiah 45:25Lakini katika Bwana wazao wote wa Israeli 2 wataonekana wenye haki na watashangilia.
Daniel 8:26“Maono kuhusu jioni na asubuhi ambayo umepewa ni kweli, lakini yatie muhuri maono haya, kwa maana yanahusu wakati mrefu ujao.”
Daniel 12:11“Tangu wakati ule wa kukomeshwa dhabihu ya kila siku na kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwako siku 1,290.
Galatians 3:8Maandiko yakitabiri kwamba Mungu angewahesabia haki watu wa Mataifa kwa imani, alitangulia kumtangazia Abrahamu Injili akisema kwamba, “Kwa kupitia kwako mataifa yote yatabarikiwa.”
Revelation 11:15Yule malaika wa saba akaipiga tarumbeta yake, pakawa na sauti kubwa mbinguni iliyosema: 1 “Ufalme wa ulimwengu umekuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, 2 naye atatawala milele na milele.”