Isaya 63:15
Tazama chini kutoka mbinguni ukaone 2 kutoka kiti chako cha enzi 2 kilichoinuliwa juu, kitakatifu na kitukufu. 1 Uko wapi wivu wako na uweza wako? 2 Umetuzuilia wema wako na huruma zako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 8:27“Lakini kweli, je, Mungu atafanya makao duniani? Mbingu, hata mbingu zilizo juu sana, haziwezi kukutosha wewe. Sembuse Hekalu hili nililojenga!
Psalms 25:6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, 2 kwa maana zimekuwepo tangu zamani. 1
Psalms 77:7“Je, Bwana atakataa milele? 2 Je, hatatenda mema tena? 1
Psalms 80:14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! 2 Tazama chini kutoka mbinguni na uone! 1 Linda mzabibu huu, 2
Psalms 89:49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, 2 ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 1
Psalms 113:5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1