The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 1 › Kumbukumbu 1:31

Kumbukumbu 1:31

na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi Bwana Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And in the wilderness, where thou hast seen how that the LORD thy God bare thee, as a man doth bear his son, in all the way that ye went, until ye came into this place.

In Context

30Bwana Mungu wenu anayewatangulia, atawapigania, kama alivyofanya kwa ajili yenu huko Misri, mbele ya macho yenu hasa,

32Pamoja na hili, hamkumtegemea Bwana Mungu wenu,

Read all of Kumbukumbu 1

Cross References

Exodus 16:1Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka Elimu, wakafika Jangwa la Sini, lililokuwa kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka Misri.

Numbers 11:11Akamuuliza Bwana, “Kwa nini umeleta taabu hii juu ya mtumishi wako? Nimekufanyia nini cha kukuchukiza hata ukaweka mzigo huu wa watu hawa wote juu yangu?

Numbers 11:14Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu.

Deuteronomy 32:10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1

Psalms 78:14Aliwaongoza kwa wingu mchana 2 na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 1

Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 1:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 1:30Kumbukumbu 1Kumbukumbu 1:32 →