Kumbukumbu 11:14
ndipo atawanyweshea mvua katika nchi yenu kwa majira yake, mvua ya masika na ya vuli, ili mpate kuvuna nafaka zenu, divai mpya na mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Nitawapa majani kwa ajili ya ngʼombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Cross References
Leviticus 26:3“ ‘Ikiwa mtafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii maagizo yangu,
Deuteronomy 28:12Bwana atafungua mbingu, ghala zake za baraka, kukupa mvua kwa majira yake na kubariki kazi zako zote za mikono yako. Utakopesha mataifa mengi lakini hutakopa kwa yeyote.
Job 37:11Huyasheheneza mawingu kwa maji, 2 naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 1
Isaiah 30:23Pia atawapa mvua kwa ajili ya mbegu mnazootesha ardhini, chakula kinachotoka ardhini kitakuwa kizuri sana, tena tele. Katika siku ile, ngʼombe wenu watalisha katika shamba pana la majani.
Jeremiah 14:22Je, kuna sanamu yoyote isiyofaa kitu ya mataifa 2 iwezayo kuleta mvua? 1 Je, anga peke yake zaweza kutoa mvua? 2 La hasha, ni wewe peke yako, 2 Ee Bwana, Mungu wetu. 1 Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, 2 kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.
Joel 2:19Bwana atawajibu: 2 “Ninawapelekea nafaka, 2 mvinyo mpya na mafuta, 1 vya kuwatosha ninyi 2 hadi mridhike kabisa; 1 kamwe sitawafanya tena 2 kitu cha kudharauliwa na mataifa. 1