Kumbukumbu 19:14
Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Bwana Mungu wako anayowapa kuimiliki. 1 Mashahidi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 21:13Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Deuteronomy 4:41Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,
Job 24:2Watu husogeza mawe ya mpaka; 2 huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 1
Proverbs 23:10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 1